Maana ya azimio ya Kazi
Azimio la kazi (kwa Kiingereza: Scheme of Work) ni mpango wa kazi unaoandaliwa na mwalimu kwa ajili ya kufundishia somo fulani katika kipindi maalumu cha muda. Ni ramani ya ufundishaji inayoonesha jinsi kila mada itakavyofundishwa kulingana na mtaala mpya wa elimu ya msingi.
Azimio la kazi ni muhimu kwa mwalimu kwa sababu humsaidia kupanga kazi zake, kufuatilia maendeleo ya wanafunzi, na kuhakikisha anafikia malengo ya kielimu yaliyowekwa.
Maazimio ya Kazi 2026
Chagua darasa lako hapa chini kuona orodha kamili ya masomo yaliyomo kwenye maazimio ya kazi 2026
Darasa la Awali
Darasa la Kwanza
Darasa la Pili
Darasa la Tatu
Darasa la Nne
Darasa la Tano
Darasa la Sita
Darasa la Saba
Pata Maazimio Yako Sasa!
Maazimio ya kazi shule za msingi 2026 yanapatikana kwa bei nafuu. Yameandaliwa kwa kuzingatia mtaala mpya wa Elimu ya Msingi ulioboreshwa kwa mwaka 2026.
Utapokea maazimio uliyolipia kupitia WhatsApp baada ya kuthibitisha malipo yako.
Kwa Usaidizi Zaidi, Wasiliana Nasi
Tuna majibu kwa maswali yote kuhusu maazimio ya kazi
Umuhimu wa Maazimio ya Kazi
Kufundisha Kwa Mpangilio
Humsaidia mwalimu kufundisha kwa mpangilio sahihi na kupanga kazi zake vizuri.
Ufuatiliaji Rahisi
Hufanya ufuatiliaji wa mada kufanyika kwa urahisi na kuhakikisha mada zote zinafunzwa.
Udhibiti wa Muda
Huonyesha muda wa kufundisha na kumaliza kila somo, kuepuka kukosa mada muhimu.
Uandaa wa Kufundisha
Huandaa mwalimu kwa zana na mbinu bora za ufundishaji kabla ya kuingia darasani.